• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la Misri lataka kuimarisha ushirikiano na jeshi la Marekani katika mapambano dhidi ya ugaidi

  (GMT+08:00) 2017-07-17 18:13:09

  Mnadhimu mkuu wa jeshi la Misri Luteni Jenerali Mahmoud Hegazy amesisitiza kuwa Misri inatakiwa kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na Marekani, hasa katika mapambano dhidi ya ugadi, ili kukabiliana na changamoto ya usalama ya kikanda.

  Luteni Jenerali Hegazy amesema hayo alipokutana na Ofisa mwandamizi wa jeshi la Marekani Bw. Michael Garrett mjini Cairo. Wakuu hao wamejadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi hizo mbili, zikiwemo kufanya luteka ya pamoja, kubadilishana ujuzi wa kijeshi, kuimarisha uwezo wa mapambano na kuboresha teknolojia husika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako