• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Kiwanda cha wafungwa cha kutengenza vitu kwa ngozi kuzalisha viatu 400 kwa siku ifikapo 2018

    (GMT+08:00) 2017-07-17 19:58:39
    Kiwanda cha wafungwa cha kutengenza vitu kwa ngozi mjini Moshi inatarajiwa kuongeza uzalishaji kutoka kwa jozi 150 ya viatu kwa siku hadi 400 kwa siku ifikapo mwaka wa 2018.

    Maendeleo haya yamekuja baada ya Mfuko wa Pensheni za Serikali (PPF) kuamua kuingiza sh bilioni 54 kujenga viwanda nne vya ngozi katika wilaya hiyo.

    Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio aliwaambia Mawaziri kwamba wakati kiwanda cha Sh bilioni 54 mjini Moshi kitakamilika itaongeza uzalishaji wa viatu katika wilaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako