• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Bei ya vyakula yashuka Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-07-18 20:04:04
    Bei ya vyakula nchini Rwanda imeshuka kwa kiwango kikubwa kwa mujibu wa utafiti wa shirika la biashara la business times.

    Kwa mujibu wa utafiti huo,tomato kilo zinauzwa franki 500 kutoka 1000 ,vitunguu kilo moja zinauzwa franki 500 kutoka 700 nayo maharagwe yanauzwa kwa kilo 500 kutoka 700.

    Kulingana na wataalamu wa masuala ya kilimo ,wakulima wa vyakula wameongeza mapato yao kufuatia msimu mzuri wa mvua.

    Mfumko wa uchumi ulioshuhudiwa mwanzoni mwa mwaka 2017 nchini Rwanda sasa pia umeanza kupungua kwa asilimia 4.8 .

    Wizara ya kilimo ya Rwanda aidha imeanzisha mipango ya kuwasiadia wakulima na pembejeo na kuwafunza mbinu mpya za kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako