• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China ataka jeshi la China kuimarishwa na kuwa la kiwango cha juu

    (GMT+08:00) 2017-07-21 20:39:52

    Wakati maadhimsho ya miaka 90 ya jeshi la ukombozi la China yanapokaribia, rais Xi Jinping wa China ametembelea maonesho ya maandalizi ya maadhimisho hayo, na kusisitiza kuwa Wachina wanahitaji kukumbuka historia iliyotukuka, kurithi jeni za ukombozi, kuhimiza shughuli muhimu zilizoanzishwa na mababu wa China kwenye kipindi kipya, na kufanya juhudi ili kulijenga jeshi la China kuwa la kiwango cha juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako