• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Marekani kuendelea kumsaka mkuu wa kundi la IS

    (GMT+08:00) 2017-07-22 16:07:55

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. James Mattis amesema anaona mkuu wa kundi lenye siasa kali la IS Abu Bakr al-Baghdadi bado yuko hai, na jeshi la Marekani litaendelea kumsaka.

    Bw. Mattis amesema Marekani inahitaji kuthibitisha kifo chake, ama sivyo haitabadilisha maoni hayo.

    Kabla ya hapo, vyombo vya habari vya Iraq vimesema kundi la IS limekiri kifo cha Baghdadi, na kusema litachagua mkuu mpya baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako