• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia yataka kuimarisha ushirikiano na China katika sekta ya usafiri wa anga

    (GMT+08:00) 2017-07-23 19:20:10

    Waziri wa mawasiliano wa Ethiopia Bw. Ahmad Shid hivi karibuni alipohojiwa na mwandishi wa habari wa shirika la habari la China Xinhua alisema kuwa Ethiopia inafanya juhudi kuwa kitovu cha usafiri wa anga cha Afrika, na inalenga kuimarisha ushirikiano na China katika sekta ya usafiri wa anga ili kutimiza lengo hilo.

    Bw. Shid anaona kuwa, ushirikiano kati ya China na Ethiopia katika sekta ya usafiri wa anga utakuwa ni nguzo muhimu ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

    Bw. Shid pia alisema kuwa China inafanya juhudi kuwa kiini cha utengenezaji wa ndege duniani, Ethiopia inataka kuwa mteja muhimu wa ndege zilizotengenezwa na China katika siku za baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako