• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shambulizi la anga la jeshi la Iraq lawaua wapiganaji zaidi ya 10 wa kundi la Islamic State

    (GMT+08:00) 2017-07-23 19:20:29

    Jeshi la Iraq limesema kuwa jeshi la anga la Iraq lilifanya shambulizi kutoka anga dhidi ya wilaya mbili za mkoa wa Al Anbar na kuwaua wapiganaji zaidi ya 10 wa kundi la Islamic State.

    Idara ya uongozaji ya kampeni ya pamoja ya Iraq ilitoa taarifa ikisema kuwa ndege za vita za jeshi la anga la Iraq zilifanya mashambulizi na kuvunja makao makuu ya uongozaji, ghala mbili za silaha na kiwanda cha kutengeneza mabomu ya gari, na kuwaua wapiganaji zaidiya 10 wa kundi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako