• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yazindua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Isiolo

    (GMT+08:00) 2017-07-24 09:27:49

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amezindua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Isiolo, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, ambao umetajwa kuwa utasaidia kuhimiza maendeleo ya utalii na uchumi kwenye maeneo ya kaskazini ya nchi hiyo. Uwanja huo ambao ni sehemu ya mradi wa ushoroba wa usafirishaji kutoka bandari ya Lamu, kupitia Sudan Kusini hadi Ethiopia LAPSSET, ni uwanja wa tano wa kimataifa nchini Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako