• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: matumaini kwa wafanyibishara wa mipaka

    (GMT+08:00) 2017-07-24 20:08:24

    Wajenzi wako katika awamu yao ya mwisho ya kukamilisha masoko manne ya mipaka inayotarajiwa kuanzishwa mwishoni mwa mwezi huu.

    Katika mahojiano ya hivi karibuni na gazeti moja la Rwanda waziri wa biashara, viwanda na mambo ya jumuiya ya Afrika Mashariki , François Kanimba, alisema kuwa masoko matatu; yako katika hatua za mwisho za kukamilika.

    Kanimba amesema wazo la kujenga masoko haya lilikuja baada ya serikali kutambua kuwa wafanyabiashara wasiokuwa na mipaka ni vigumu kwao kufanya zao.

    Mnamo mwaka 2016, biashara isizo rasmi mipaka ilileta dola milioni 150 kutoka dola milioni 80 mwaka 2010, kulingana na waziri kuna matumaini kwamba masoko ya mipakani yataongeza biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako