• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Dar iko makini kuhudumisha uwekezaji na Wachina

    (GMT+08:00) 2017-07-24 20:08:48

    TANZANIA iko makini kuimarisha biashara na mahusiano ya na uwekezaji na China.

    Tanzania inaangalia kutoka kwamba mambo ya kilimo na kujishughulisha na mambo ya viwanda, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dr Adelhelm Meru amesema.

    Aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam China imekuwa mojawapo ya nchi za mbele katikia kusaidia Tanzania kutekeleza mkakati wake wa maendeleo unaozingatia kukuza viwanda kwa njia ya uwekezaji katika viwanda, ambayo imetengeneza nafasi za biashara na fursa za ajira.

    Takwimu za uwekezaji zinaonyesha kwamba Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kiliandikisha miradi 35 ya uwekezaji ya Kichina yenye thamani ya dola milioni 2,110 kutoka Januari hadi Mei mwaka huu, na, inatarajiwa kuzalisha ajira 1,733.

    Kwa mfano, ripoti ya Uwekezaji wa Dunia mwaka 2017 iliyotolewa na Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Biashara na Maendeleo (UNCTAD) inaonyesha kwamba Tanzania ilivutia uwekezaji wenye thamani ya dola milioni 1,364 mwaka 2016, ikifuatiwa na Kenya dola milioni 394 alafu Uganda dola milioni 541.

    Uwekezaji wa China nchini Tanzania umeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kufikia dola bilioni 2.5 za Marekani mwezi wa Mei 2017.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako