• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda-IMF yaidhinisha utoaji wa awamu ya pili ya mkopo ($25 milioni) kwa Rwanda.

    (GMT+08:00) 2017-07-25 19:17:52

    Shirika la Fedha Duniani limeidhinisha utoaji wa $25 million kwa Rwanda kama sehemu ya mkopo wa $204 million (about Rwf159.7 bilioni) ambao uliidhinishwa mwezi Juni mwaka jana kuisaidia serikali kuweka viwango vya akiba ya nje juu.

    Mkopo huo wa $204 million uliidhinishwa mwaka jana wakati serikali ilipokuwa na kupungua kwa bei za bidhaa nankuongezeka kwa uagizaji ,jambo ambalo limeathiri pakubwa mapato ya mauzo ya nje na kutia shinikizo katika akiba ya ubadilishanaji wa fedha za kigeni.

    Fedha zilizotolewa mwezi Juni mwaka jana ni $72.09 milioni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako