• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Misri lawaua wapiganaji 40 katika operesheni huko Sinai

    (GMT+08:00) 2017-07-25 19:25:44

    Jeshi la Misri limesema, wapiganaji 40 wameuawa katika operesheni ya kijeshi iliyofanyika mkoa wa Sinai Kaskazini.

    Kwenye taarifa yake msemaji wa jeshi hilo Bw. Tamer el Refai amesema, jeshi hilo limewaua wapiganaji hatari zaidi 40 katika operesheni ya ardhini na angani katika miji ya Arish, Rafah na Sheikh Zuweid mkoani Sinai Kaskazini.

    Ameongeza kuwa watuhumiwa wengine watano wamekamatwa katika operesheni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako