• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya Wanlistone yatengeneza bidhaa za aina mbalimbali kwa kutumia marumaru

    (GMT+08:00) 2017-07-26 09:28:50

    Kampuni ya Wanlistone inatengeneza bidhaa za aina mbalimbali kwa kutumia marumaru. Malighafi hiyo inaagizwa kutoka nchi mbalimbali duniani, pia kampuni hii imefungua kiwanda nchini Afrika Kusini,na kuwauzia watu wa huko pamoja na nchi za Zambia, Msumbiji, Namibia, Botswana, na Algeria. Pia kiwanda hiki kilitoa marumaru zilizotumika kujenga Kituo cha Mikutano cha Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia. Video hii inaonesha mchakato wa utengenezaji wa marumaru hizi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako