• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Air France kurejelea safari zake kwenda Kenya.

    (GMT+08:00) 2017-07-26 19:29:01

    Shirika la ndege ya Ufaransa Air France linatarajiwa kurejelea safari zake kwenda nchini Kenya.

    Safari za shirika hilo kati ya Pari na Nairobi zilisitishwa mwaka 2000.

    Air France itahuduu mara tatu kwa wiki kuanzia mwezi machi 2018 kwa kutumia ndege ya Boeing 787-9 .

    Safari zitafanyika siku za Jumatatu, Alhamis na Jumapili zikitarajiwa kuendelea kuboresha sekta ya utalii nchini humo.

    Taakwimu kutoka kwa kituo cha kitaifa cha taakwimu nchini Kenya zinaonyesha kwamba Ufaransa ndio yenye na ukuaji mkubwa zaidi wa abiria wa ndege na shehena.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako