• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Wakaazi mjini Arua Uganda wanalalamikilia ukosefu wa usalama

    (GMT+08:00) 2017-07-26 19:29:36

    Wakaazi mjini Arua nchini Uganda wanalalamikilia ukosefu wa usalama katika kituo cha magari ya usafiri wa umma cha Arua abacho ujenzi wake umechelewa kwa muda.

    Wanasema kituo hicho hakina eneo la kuegesha magari na pia uzoaji taka wake ni duni huku wezi wakihagaisha wakaazi.

    Wanasema sasa magari yote yayatumia barabara za Koboko-Yei-Juba, Arua-Nebbi-Panyimur na Arua-Ariwara yanalazimika kuegesha kandokando mwa barabara na hivyo kuhatarisha maisha ya raia na wapiti njia.

    Kituo hicho kimeendelea kuwa na msongamano licha ya kutengewa kwa shilingi bilioni 20 kukikarabati.

    hivi karibuni kamishena kwenye wizara ya ardhi na nyumba Joseph Paddy,alisema serikali inapanga kufanyia ukarabati wa miundo mbinbu ya uchukuzi kwenye manispaa zote nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako