• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda yaunga mkono sheria  mpya ya Raga

    (GMT+08:00) 2017-07-27 10:31:36
    Shirikisho la Raga nchini Rwanda (RRF) imekaribisha tangazo la Shirikisho la Raga duniani kuhusu sheria za ziada mpya zitakazoathiri ncha ya Kaskazini na Kusini.

    Marekebisho ya ziada sita zitaanza kutekelezwa Januari 1, 2018 baada ya majaribio katika mashindano maalum ya kimataifa mwaka huu. Rwanda, ambayo iko chini ya Equator, inasema itafuata sheria zitakazoathiri ncha ya Kusini.

    Kwa mujibu wa mkurugenzi wa kiufundi wa RRF, Tharissise Kamanda, sheria mpya zinahusiana na Scrum (Sheria 20) na kukabiliana / Ruck (Sheria ya 15 na 16) na yana lengo la kufanya mchezo rahisi kucheza na kuchezesha pamoja na kulinda wachezaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako