Mji wa Xiamen umepambwa vizuri, hata makasha ya kuhifadhia mtambo wa umeme wa mji huo yamepambwa kwa michoro inayovutia.