• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la maofisa waandamizi kujifunza moyo wa hotuba ya Rais Xi Jinping wa China lafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2017-07-28 09:14:56

    Kongamano maalum linaloshirikisha mawaziri na wakuu wa mikoa kujifunza moyo wa hotuba ya rais Xi Jinping wa China lilifanyika jana na juzi mjini Beijing. Akitoa hotuba kwenye ufunguzi wa kongamano hilo, rais Xi Jinping amesema usoshalisiti wenye umaalumu wa kichina ni kaulimbiu ya nadharia na utendaji wote wa chama, tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango. Amekitaka chama kiwe na imani na njia, nadharia, mfumo na utamaduni wa China, na kuhakikisha shughuli za chama na nchi zinafuata mwelekeo sahihi, na kuendelea na juhudi ili kutimiza ndoto ya kustawisha tena taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako