• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Russia asema Marekani inapaswa kupunguza idadi ya wanadiplomasia nchini Russia

  (GMT+08:00) 2017-07-31 10:17:19

  Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kwenye mahojiano na kituo kimoja cha televisheni cha Russia, kuwa Marekani inapaswa kupunguza wafanyakazi 755 kwenye taasisi zake za kidiplomasia nchini Russia, ili kuifanya idadi za wafanyakazi za nchi hizo mbili iwe na uwiano.

  Rais Putin amesema wanadiplomasia na wafundi 755 wa Marekani kwenye taasisi za kidiplomasia nchini Russia wanapaswa kuondoka ili idadi za wanadiplomasia wa Russia na Marekani katika upande mwingine kupungua hadi 455. Alisema kuwa Russia inapaswa kujibu vikwazo vipya ilivyowekewa na Marekani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako