• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa maadhimisho ya miaka 90 ya jeshi la China wafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2017-08-01 10:12:05
    Mkutano wa maadhimisho ya miaka 90 tangu kuanzishwa kwa jeshi la ukombozi la umma la China PLA umefanyika leo hapa Beijing, na kuhudhuriwa na kuhutubiwa na rais Xi Jinping wa China.
    Wajumbe wote saba wa kudumu wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China, viongozi wa chama na serikali na wajumbe wengine zaidi 3,000 kutoka sekta mbalimbali wamehudhuria mkutano huo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako