• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • StarTimes na Waandishi wazindua tuzo

    (GMT+08:00) 2017-08-02 10:34:16

    Kampuni ya kutoa huduma za kidigitali ya StarTimes kutoka China imeungana na wanahabari kutoka Kenya kwa minajili ya kuwatuza wanamichezo. Tuzo hilo litatolewa kila mwezi kwa wanamichezo watakaofanya vyema mashindanoni.

    StarTimes na Shirikisho la wanahabari wa michezo kutoka Kenya, SJAK wameungana kutuza wanamichezo wanaostahili kila mwezi. Tuzo hilo la SOMA itatolewa kwa mara ya kwanza kwa wanamichezo waliobobea mwezi uliopita wa Agosti.

    Tuzo hilo la mwezi pia litatumika kama kigezo cha uteuzi wa wanamichezo watakaoshiriki taji la mwanamichezo wa mwaka SOYA inayofanyika kila mwaka.

    SOMA hata hivyo haitashirikisha wanasoka kwani kitengo hicho tayari kina tuzo kinachotambua wachezaji na makocha, ambayo pia inaandaliwa na SJAK

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako