• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vyuo vya kukuza wanabondia kupata vifaa maalum

    (GMT+08:00) 2017-08-03 10:30:38
    Kampuni ya Round 13, ambayo ni taasisi inayonuia kuinua viwango wa mazingira yanayotumiwa na wanasumbwi na shule barani Afrika, imeingilia kati kusaidia kutoa vifaa vinavyohitajika kwa mchezo huo.

    Ukosefu wa vifaa ni mojawapo ya shida kubwa inayokabili vyuo vya kukuza vipaji vya wanandondi Uganda na Afrika kwa jumla. Baadhi yao ufanya mazoezi chini ya mazingira yaliyoko hali mbovu, wakikosa vifaa kama vile glavu, padi, viatu maalum na begi ya kupiga ngumi.

    Na sasa kampuni hiyo ya Round 13 inayomilikiwa na Ernesto Sanchez, mzaliwa wa mexico, imeahidi kutoa msaada wa glavu, kinga ya mdomo, helmeti, mifuko mizito na vigogo katika baadhi ya vyuo ili kuimarisha ukuaji wa mchezo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako