• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwenyekiti wa baraza la mashauriano ya kisiasa la China apongeza mafanikio ya mkoa wa Mongolia ya ndani

  (GMT+08:00) 2017-08-08 21:31:30

  Mwenyekiti wa baraza la mashauriano ya kisiasa la China Bw. Yu Zhengshen amepongeza mafanikio ya mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya ndani, na kusema anatumai kuboresha hali ya kujiendesha kwa makabila madogo madogo kutaleta maisha mazuri zaidi kwa watu wa mkoa huo.

  Bw. Yu ametoa pongezi hizo kwenye mkutano wa maadhimisho ya miaka 70 ya mkoa huo, akiongoza ujumbe wa watu 63. Amesisitiza umuhimu wa kufuata uongozi wa chama cha kikomunisti cha China, ambacho kiko imara kuwaunganisha na kuwaongoza watu wa makabila yote, na kushikilia ujamaa wenye umaalum wa kichina.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako