Mamlaka hiyo imesema, kiwango hicho kilikuwa chini ya asilimia 1.5 ya mwezi Juni. Gharama za maisha kwa mwezi Julai ziliendelea kuwa tulivu, na bei ya vyakula ilishuka kwa asilimia 0.1. Bei ya mboga za majani iliongezeka kwa asilimia 7 baada ya kushuka kwa miezi mitano mfululizo.
Ikilinganishwa na mwaka jana, bei ya chakula nchini China ilishuka kwa asilimia 1.1 mwezi Julai, huku bei ya bidhaa zisizo za chakula ikiongezeka kwa asilimia 2.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |