• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Iran awateua marais watatu wa rais wa kike

  (GMT+08:00) 2017-08-11 10:40:31

  Rais wa Iran awateua marais watatu wa rais wa kike

  Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa, rais Hassan Rouhani wa nchi hiyo amewateua makamu watatu wa rais wa kike.

  Makamu hao wa rais ni pamoja na Bibi Masoumeh Ebtekar, Laya Joneidi na Shahindokht Molaverdi ambao wanashughulikia mambo ya wanawake na familia, sheria na ushauri kwa rais kuhusu mambo ya ya raia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako