Mpango wa miaka kumi uliozinduliwa mwaka 2011/2012 unalenga kuongeza uzalishaji wa kahawa ubora kutoka tani 50,000 kwa mwaka hadi tani 150,000 ifikapo mwaka wa 2020/2021.
Mbali na kuongeza uzalishaji wa kahawa, mpango huu pia una lengo la kuongeza mapato na kuboresha maisha ya wakulima waliotawanyika katika maeneo mbalimbali ya nchi.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |