Naibu mkurugenzi wa shirika hilo tawi la Afrika JapanTakashi Shibata ,amesema mpango huo utaboresha miundo msingi ,maendeleo ya rasli mali na kuinua maisha ya vijana kupitia kwa fursa za kazi.
Chini ya uwekezaji huo,Japan itajenga vituo vya afya na kuanzisha vituo vya ustawishaji vya thamani ya dola bilioni 30 kwa ushirikiano wa sekta ya umma na ile binafsi.
Aidha Japan ina mpango wa kufungua biashara zake Afrika na tayari majadiliano yamefanywa na serikali za nchi za Afrika.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |