• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China amtumia mwenzake wa DRC salamu za rambirambi kufuatia vifo vilivyotokana na maporomoko ya udongo

    (GMT+08:00) 2017-08-21 18:24:48

    Rais Xi Jinping wa China amemtumia rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC salamu za rambirambi kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababisha vifo vya watu 200.

    Katika salamu zake, rais Xi ametoa pole kwa familia za marehemu na watu walioathirika na maporomoko hayo yaliyokumba vijiji vitatu katika mkoa wa Ituri ulioko kaskaini mashariki mwa DRC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako