• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Beijing yarekodi kiwango cha chini zaidi cha uchafuzi wa hewa tangu mwaka 2013

    (GMT+08:00) 2017-08-22 09:09:39

    Mji wa Beijing umerekodi kiwango cha chini zaidi cha faharisi ya uchafuzi wa hewa katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Julai tangu mwaka 2013, na kiwango cha wastani cha vumbi aina ya PM 2.5 kilifikia 64 katika miezi saba ya mwanzo mwaka huu, kikipungua kwa asilimia 34.7 kuliko mwaka jana kipindi kama hicho. Maendeleo hayo yamepatikana baada ya serikali ya Beijing kuanza kampeni ya Hewa Safi kwa njia ya kupunguza matumizi ya makaa ya mawe, kuondoa magari yasiyotimiza vigezo vya utoaji moshi, na kuhamisha viwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako