• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rooney afunga bao la 200, Everton yaivuta shati Man City

  (GMT+08:00) 2017-08-22 09:14:36

  Mshambuliaji Wayne Rooney wa Everton amefunga bao lake la 200 katika ligi kuu ya Uingereza (EPL) wakati timu yake ikitoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Manchester City.

  Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho alikuwa uwanjani hapo akishuhudia mechi hiyo kwenye uwanja wa Etihad.

  Everton waliokuwa ugenini ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao katika dakika ya 36 kupitia Rooney aliyeunganisha pasi ya chinichini. Man City walisawazisha bao katika dakika ya 82 kupitia Raheem Sterling.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako