• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watalii wa ndani wa China katika miezi sita iliyopita mwaka huu yazidi bilioni 2.5

    (GMT+08:00) 2017-08-22 18:40:36

    Idara ya utalii ya China hivi karibuni ilitoa ripoti ya takwimu za utalii za miezi sita iliyopita ya mwaka 2017, zikionesha kuwa idadi ya wachina waliofanya utalii wa ndani katika miezi sita ya mwanzo ya mwaka huu imefikia bilioni 2.537 ambayo imeongezeka kwa asilimia 13.5 kuliko mwaka jana wakati kama huu.

    Mkurugenzi wa idara ya utalii ya China Bw. Li Jinzao alisema pato lililotokana na utalii limefikia renminbi trilioni 2.17 sawa na dola za kimarekani bilioni 328.8, ambalo ni ongezeko la asilimia 15.8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako