• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Dereva wa gari lenye mitungi ya gesi kutoka Hispani akamatwa uholanzi

  (GMT+08:00) 2017-08-24 08:58:10

  Polisi nchini Uholanzi wanachunguza tishio la usalama mjini Rotterdam baada ya gari moja lenye mitungi ya gesi kuzuiwa na dereva wake kukamatwa karibu na jumba la maonesho mjini humo. Polisi wamesema gari hilo lililosajiliwa nchini Hispania lilizuiwa saa tatu hadi nne jana usiku, na dereva alikamatwa na kupelekwa kwenye kituo cha polisi kwa ajili ya uchunguzi. Baada ya tukio hilo, maonesho ya muziki yaliyopangwa kufanyika kwenye jumba hilo yalifutwa na watu waliokuwa kwenye jengo hilo waliondolewa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako