• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakenya waipokea vizuri marufuku ya mifuko ya plastiki

    (GMT+08:00) 2017-08-30 09:26:06

    Wakenya wanaonekana kupokea vizuri marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki iliyoanza kutekelezwa jumatatu. Wafanyabiashara wengi wadogo na wateja wameanza kutumia mifuko mipya iliyopendekezwa, ambayo haina madhara kwa mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako