• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuchunguza kesi dhidi ya mauzo ya mipira ya nchi za nje nchini China

    (GMT+08:00) 2017-08-30 16:52:38

    Wizara ya biashara ya China leo imetangaza kufanya ukaguzi wa kesi ya mauzo ya mipira ya Marekani, nchi za Umoja wa Ulaya na Singapore nchini China kwa bei chini.

    Wizara hiyo ilikabidhiwa ombi la kufanya hivyo na mashirika ya mipira ya China, ambayo yamepata hasara kubwa kutokana na Marekani, Umoja wa Ulaya na Singapore zinauza mipira kwa bei chini nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako