• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu zaidi ya 8 wauawa katika mapambano ya Afrika ya Kati

    (GMT+08:00) 2017-08-31 16:45:03

    Idara ya uratibu wa mambo ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, watu zaidi ya 8 wameuawa katika mapambano yaliyotokea mashariki mwa Afrika ya Kati.

    Vyombo vya habari vya huko vimesema, mbali na vifo vya watu 8, watu 29 wamejeruhiwa na wengine wengi wamepoteza makazi katika mapambano hayo.

    Habari zinasema, wapiganaji pia wameshambulia mji wa Kampot na kusababisha vifo na majeruhi. Watu zaidi ya elfu moja wamekimbilia kambi ya kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kuomba msaada.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako