• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China kufanyika tarehe 18 Oktoba

  (GMT+08:00) 2017-08-31 18:39:03

  Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China, leo imefanya mkutano kujadili maandalizi ya mkutano wa 7 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya awamu ya 18 ya chama, na mkutano mkuu wa 19 wa chama. Katibu mkuu wa kamati kuu ya chama Bw. Xi Jinping ameongoza mkutano huo.

  Mkutano huo umeamua kuwa mkutano wa 7 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya chama, utafanyika tarehe 11 Oktoba hapa Beijing, ambapo ofisi ya siasa itatoa pendekezo kufanya mkutano mkuu wa 19 wa chama tarehe 18 Oktoba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako