• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 40 wahofiwa kufariki Texas kutokana na dhoruba Harvey

    (GMT+08:00) 2017-09-01 08:29:04

    Watu wapatao 40 wamefariki au wanahofiwa kufariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na dhoruba ya Harvey mjini Texas, Marekani. Hivi sasa kazi za kuthibitisha vifo vilivyotokea kutokana na dhoruba, na kuwatafufa watu waliopotea kwenye mafuriko bado zinaendelea. Mamlaka za kaunti mbalimbali zinasema huenda watu zaidi waliofariki wanaweza kupatikana kutokana na maji kuendelea kupungua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako