• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi nyingi zaidi zikaribishwe kujiunga na mfumo wa BRICS+

    (GMT+08:00) 2017-09-03 17:01:50

    Rais Xi Jinping wa China amesema, likiwa jukwaa muhimu la ushirikiano duniani, mfumo wa ushirikiano wa BRICS si kama tu unahusu nchi tano wanachama wake, bali pia unahusu matarajio ya nchi zote zinazoibuka kiuchumi, nchi zinazoendelea na jumuiya ya kimataifa. Alipohutubia ufunguzi wa kongamano wa viwanda na biashara kati ya nchi za BRICS, rais Xi alisema tunapaswa kupanua wigo wa ushirikiano wa BRICS ili nchi nyingi zaidi zinufaike, kwa kupitia kuanzisha mtandao wa kiwenzi, nchi nyingine zinazoendelea na zile zinazoibuka kiuchumi zinaweza kujiunga na shughuli zetu za kunufaishana zenye ushirikiano na mshikamano, ili kupata mafanikio ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako