• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Luteka ya pamoja ya kijeshi "Agile Spirit 2017" yaanza Georgia

    (GMT+08:00) 2017-09-04 09:14:15

    Luteka ya pamoja ya kijeshi ya "Agile Spirit 2017" ilianza jana kusini mwa Georgia. Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi ya Georgia, wanajeshi zaidi ya 1,500 kutoka Georgia, Marekani, Bulgaria, Latvia, Romania, Ukraine na Azerbaijan watashiriki kwenye luteka hiyo ya wiki moja, inayolenga kuongeza ushirikiano na uratibu kati ya jeshi la Georgia na majeshi ya nchi zinazoshiriki, na kuinua uwezo wa kivita wa jeshi la NATO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako