• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji wa IS wajaribu kuhamia kaskazini mwa Libya

    (GMT+08:00) 2017-09-04 09:14:33

    Msemaji wa jeshi la Libya kanali Ahmad Mismari amesema wapiganaji wa kundi la Islamic State wanajaribu kuhama kwa vikundi vidogo kutoka jangwa la kusini hadi maeneo ya pwani kaskazini mwa Libya, baada ya kuwateka nyara baadhi ya raia kama ngao. Vikosi vinavyoshirikiana na serikali ya maafikiano ya kitaifa inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, vimewashinda na kuwaondoa wapiganaji wa kundi la IS kutoka kwenye ngome yao mjini Sirte, kilomita 450 mashariki ya mji mkuu Tripoli, baada ya mapambano makali yaliyodumu kwa miezi saba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako