• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Prince William wa Uingereza atarajia mtoto wa tatu

    (GMT+08:00) 2017-09-05 09:28:04

    Prince William wa Uingereza na mke wake Catherine wametangaza kupitia mtandao wa kijamii kwamba wanatarajia kuwa na mtoto wao wa tatu. Malkia Elizabeth na waziri mkuu wa Uingereza Theresa May wote wametoa salamu za pongezi kwa Prince Willam na mke wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako