• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawasiliano na ushirikiano wa utamaduni ya BRICS kuimarishwa

    (GMT+08:00) 2017-09-05 14:19:37

    Rais Xi Jinping wa China amesema, viongozi wa nchi tano za BRICS wamekubaliana kuwa, nchi wanachama zote za muungano huo zina historia ndefu na utamaduni mzuri ambao ni mali inayotakiwa kuthaminiwa. Mwaka huu mawasiliano na ushirikiano wa utamaduni kati ya nchi hizo tano uliofanyika katika sekta mbalimbali unafurahishwa sana. Ushirikiano kati ya mabunge, vyama vya siasa, vijana, wataalamu na ngazi ya shina pia yametoa fursa kwa watu wa nyanja mbalimbali kujiunga na ushirikiano wa BRICS. Ushirikiano kama huo utafanyika mara kwa mara na kwa utaratibu ili kukuza maelewano na urafiki kati ya watu wa nchi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako