• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito kuimarisha ushirikiano kati ya Kusini na Kusini

    (GMT+08:00) 2017-09-05 14:19:57

    Rais Xi Jinping wa China amesema, mazungumzo kati ya nchi zinazoibuka kiuchumi na nchi zinazoendelea duniani yaliyoandaliwa na China yamepaza sauti nia ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi Kusini na Kusini pamoja na kuongeza ushirikiano duniani katika shughuli za maendeleo. Viongozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria mazungumzo hayo wamekubaliana kuwa, nchi zinazoibuka kiuchumi na nchi zinazoendelea zinapaswa kuonesha kazi muhimu zaidi katika kutekeleza Mipango ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 na kukamilisha mambo ya ushughulikiaji wa uchumi duniani, kukuza ushirikiano kati ya nchi Kusini na Kusini, kuanzisha mfumo wa "BRICS+", kuanzisha uhusiano mpana zaidi wa kiwenzi, kujenga mtandao wa wenzi wa maendeleo ulio wazi na kuhusisha sekta mbalimbali, kushirikiana kutafuta njia za maendeleo endelevu yenye uvumbuzi, usio na uchafuzi kwa mazingira, ulio wazi na kunufaisha pande zote, ili kuchangia ongezeko la uchumi duniani, na kutimiza maendeleo ya pamoja ya nchi mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako