• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazungumzo ya nchi zinazoibuka kiuchumi na nchi zinazoendelea yafanyika

    (GMT+08:00) 2017-09-05 16:00:45
    Mazungumzo ya nchi zinazoibuka kichumi na nchi zinazoendelea yamefanyika huko Xiamen. Rais Xi Jinping wa China ameendesha mazungumzo hayo, akizisisitiza pande zote ziimarishe ushirikiano, kujenga uchumi wa kufungua mlango, kutekeleza ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030, kushika fursa ya historia ya kuboresha miundo ya uchumi wa dunia, kujenga uhusiano wa urafiki wa sekta mbalimbali, kuanzisha njia yenye usawa, ufunguzi wa mlango, uvumbuzi ya maendeleo, na kutoa mchango mkubwa zaidi kwa ongezeko la uchumi la dunia.
    Viongozi wote wa nchi za BRICS pamoja na marais wa Misri, Guniea, Mexico, Tajikstan na waziri mkuu wa Thailand Bw. Prayuth Chan-ocha walihudhuria mazungumzo hayo.
     Pande zote zilikubaliana kutekeleza ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 ya Umoja wa Mataifa, kuunga mkono umuhimu wa Umoja wa Mataifa, kuweka mazingira mazuri ya maendeleo, kuzidisha ushirikiano kati ya nchi za Kusini na Kusini na kujenga uhusiano wa urafiki kwenye sekta mbalimbali.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako