• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndondi: Anthony Joshua atakutana na Kubrat Pulev katika ndondi za uzito wa juu ya Oktoba 28

    (GMT+08:00) 2017-09-06 08:12:16
    Kubrat Pulev wa Bulgaria amethibitisha kwamba atakutana na bingwa wa dunia wa IBF na WBA wa Uingereza Anthony Joshua katika pambano la ngumi la uzito wa juu litakalofanyika Oktoba 28 huko Cardiff Uingereza.

    Pulev amesema yuko tayari kwa pambano hilo na anaendelea kujifua ili akiingia ulingoni aibuke mshindi huku akimuelezea Joshua kuwa ni mpinzani mzuri mwenye hatari lakini atahakikisha anamkalisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako