• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la Syria laondoa hali ya kuzingirwa kwa mji wa Deir ez-Zor na kundi la IS

  (GMT+08:00) 2017-09-06 09:12:30

  Jeshi la serikali ya Syria imefanikiwa kuingia kwenye kambi moja ya jeshi la serikali mjini Deir ez-Zor, na kuondoa hali ya kuzingirwa kwa mji huo na kundi la Islamic State kwa miaka mitatu iliyopita. Kabla ya hapo raia zaidi ya 9300 walikwama mjini humo, na askari wapatao 5000 walizingirwa kwenye kambi ya brigedi ya 137 iliyoko magharibi mwa mji huo. Kutokana na hatua ijayo, jeshi la Syria litasonga mbele kuelekea kusini mashariki mwa kambi hiyo, kuelekea kwenye kituo cha jeshi la anga ambacho bado kinadhibitiwa na kundi la IS.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako