• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sekta ya teknolojia ya habari na mtandao wa internet nchini China yastawi

  (GMT+08:00) 2017-09-06 18:27:23

  Sekta ya teknolojia ya habari na mtandao wa internet nchini China ilienda kustawi mwaka jana kutokana na mazingira mazuri ya biashara na uvumbuzi wa kiteknolojia.

  Hayo yamo kwenye ripoti iliyotolewa na Wizara ya Viwanda na Teknolojia ya Habari. Takwimu rasmi zinaonyesha kuwa, pato la jumla kwa viwanda vikubwa vya IT na mtandao wa internet ilifikia dola za kimarekani trilioni 2.6, ikiwa ni mara 1.55 zaidi ya mwaka 2012. Ongezekol a faida katika kampuni ya kielektroniki ya IT na mtandao wa internet ilishika kasi mwaka jana kutokana na kuongezeka kwa uwekezaji na kiwango kidogo cha kodi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako