• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: KIWANDA CHA SUKARI KUJENGWA WILAYANI TARIME

    (GMT+08:00) 2017-09-07 19:52:27

    Serikali ya Tanzania imeingia katika mkataba na kampuni ya Nile Agro ya Uganda kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha sukari na mradi mkubwa upandaji miwa katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.

    Mradi uliotarajiwa unatarajiwa kutoa ajira za moja kwa moja kwa watu angalau 5,000. Wakulima 2,000 katika wilaya ya Tarime.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako