• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uchunguzi wa maoni waonesha Merkel azidi kuongoza kwenye uchaguzi wa Ujerumani

  (GMT+08:00) 2017-09-08 09:03:40

  Uchunguzi mpya wa kura za maoni uliotolewa jana na Taasisi ya uchunguzi ya Infratest dimap, unaonesha kuwa idadi ya watu wanaounga mkono vyama vya CDU na CSU vinavyoongozwa na chansela Angela Merkel inaongoza kwa asilimia 37, ikifuatwa na asilimia 21 ya watu wanaounga mkono chama cha SPD, ambayo imepungua kwa asilimia 2 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Uchunguzi unakadiria kuwa asilimia kubwa ya watu wa Ujerumani watamchagua Bibi Merkel badala ya Bw Schulz kwenye uchaguzi ujao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako