• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa 19 wa wajumbe wa chama cha kikomunisti cha China wawakaribisha waandishi wa habari wa China na nchi za nje

  (GMT+08:00) 2017-09-08 17:54:24

  Mkutano wa 19 wa wajumbe wote wa chama cha kikomunisti cha China unatarajiwa kuanza mwezi ujao, na waandishi wa habari kutoka ndani na nje ya China pamoja na mikoa ya Hong Kong, Macau na Taiwan wanakaribishwa kufuatilia mkutano huo.

  Ili kuwarahisishia waandishi wa habari kutoa maombi ya kufanya mahojiano, mkutano huo umefungua tovuti ya kujiandikisha kwa waandishi wa habari, ambapo anuwani yake ni http://cpc19reg.zgjx.cn. Maombi hayo yanashughulikiwa kuanzia tarehe 8 hadi 25 mwezi huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako